Njombe
Watumishi wanne wa halmashauri ya wilaya ya Makete mkoani Njombe wamefukuzwa kazi kwa ubadhirifu wa fedha za mapato ya ndani na mmoja kwa utoro kazini na kuisababishia hasara serikali.
Kikao maalumu cha baraza la Madiwani la halmashauri hiyo kimebariki uamuzi huo wakati wa kujadili maadili ya watumishi zaidi ya 60 huku watumishi watano wakiadhimiwa kukatwa mishahara yao 15% kwa kipindi cha mwaka mmoja mpaka miaka mitatu.
Mkurugenzi wa halmashauri hiyo bwana William Makufwe amesema adhabu kwa watumishi hao kutokana na makosa yao zimeanza
mapema kuanzia sasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...