WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake katika kikao kazi kilichofanyika ofisi ndogo za Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 10, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu, Christopher Kadio.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...