Msimamizi wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya SBC Tanzania, Fadi El-Khalil akifurahi pamoja na wanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Kihonzile iliyopo Bunju, jijini Dar es salaam wakati wa mahafali ya kwanza ya shule hiyo yaliyofanyika hivi karibuni. Kampuni ya SBC Tanzania kupitia kinywaji chake cha Pepsi ilidhamini wa shughuli hiyo kwa kupeleka vinywaji. Wanafunzi wa Darasa la Saba nchini kote walimaliza jana mtihani wao wa Taifa. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya SBC Tanzania, Dorris Malulu.
Msimamizi wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya SBC Tanzania, Fadi
El-Khalil akiimba pamoja na wanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya
Msingi Kihonzile iliyopo Bunju, jijini Dar es salaam wakati wa mahafali
ya kwanza ya shule hiyo yaliyofanyika hivi karibuni. Kampuni ya SBC
Tanzania kupitia kinywaji chake cha Pepsi ilidhamini wa shughuli hiyo
kwa kupeleka vinywaji. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Kampuni
ya SBC Tanzania, Dorris Malulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...