Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo na Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Pedro Pallangyo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023 kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa kikao cha kuangalia utekelezaji wa majukumu ya Taasisi hiyo kwa kufuata mpango mkakati wa mwaka 2022/23 – 2026/27.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi hiyo leo katika Ukumbi wa JKCI katika kikao cha kuangalia utekelezaji wa majukumu ya Taasisi hiyo kwa kufuata mpango mkakati wa mwaka 2022/23 – 2026/27.
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakisikiliza taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023 wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa majukumu ya Taasisi hiyo kwa kufuata mpango mkakati wa mwaka 2022/23 – 2026/27.
Afisa Tehama wa Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Fiona Kavishe akielezea namna ambavyo Kitengo cha Tehama kimejipanga kuboresha huduma wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa majukumu ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023 kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo kwa kufuata mpango mkakati wa mwaka 2022/23 - 2026/27.
Daktari bingwa wa usingizi na wagonjwa ahututi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Alex Loth akitoa hoja wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa majukumu ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023 kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo kwa kufuata mpango mkakati wa mwaka 2022/23 - 2026/27.
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Sulende Kubhoja akichangia mada wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa majukumu ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023 kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo kwa kufuata mpango mkakati wa mwaka 2022/23 - 2026/27.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...