Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  leo Oktoba 26, 2022 ameshuhudia  utiaji saini wa makubaliano  ya Ushirikiano baina ya Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) na Seikali ya Jimbo la Chungcheongbuck nchini Korea . Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akiwa na  Mtendaji Mkuu wa MSD, Tukai Lavere (wa pili kushoto) na Gavana wa Jimbo hilo, Kim Young Hwan ambao walitia saini makubaliano hayo. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Korea, Togolani Mavura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  leo Oktoba 26, 2022 ameshuhudia  utiaji saini wa makubaliano  ya Ushirikiano baina ya Bohari ya Dawa Tanzania (MSD na Seikali ya Jimbo la Chungcheongbuck nchini Korea . Pichani,   Mtendaji Mkuu wa MSD, Tukai Lavere (wa pili kushoto) na Gavana wa Jimbo hilo Kim Young Hwan (wa pili kulia) wakitia saini makubaliano hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...