Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Kituo cha kutengeneza vifaa tiba ( Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie kuhusu utengenezaji wa dawa katika kituo hicho wakati alipokitembelea kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea, Oktoba26, 2022. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Kituo cha kutengeneza vifaa tiba ( Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie kuhusu utengenezaji wa vifaa tiba kituoni hapo. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea, Oktoba26, 2022. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Kituo cha kutengeneza vifaa tiba ( Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie (kulia) kuhusu vifaa tiba vinavyotengenezwa kituoni hapo. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea Kusini, Oktoba 26, 2022. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...