Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Juma Kijavara akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipopokea taarifa ya miradi ya maendeleo ya Mamlaka hiyo, jijini Dodoma.
Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakifuatilia wasilisho la taarifa ya miradi ya maendeleo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) iliyowasilishwa kwao, jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipopokea taarifa ya miradi ya maendeleo ya Mamlaka hiyo, jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...