




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango leo tarehe 13 Oktoba 2022 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani
Kagera. Makamu wa Rais anatarajia kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za
Mwenge Kitaifa zitazofanyika mkoani Kagera na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 14 Oktoba
2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...