
WIKIENDI hii Meridianbet imeshuhudia bingwa mwingine wa ubashiri kwa USSD, ambaye amejikusanyia kitita cha shilingi milioni mbili kwenye ubashiri wake. Ungependa kufahamu zaidi juu ya ubashiri wake? soma hapa!
Mteja
wetu makini wa USSD, ambaye alibashiri bila intaneti kwa kupiga *149*10#
alikuwa makini kujua historia za timu zinazocheza na kujiachia na machaguo
mengi yaliyopo Meridianbet pekee.
Bingwa
wetu wa beti alichangamkia uwanja mpana wa machaguo na kubashiri mechi za Ligi
ya Tanzania, La Liga, Serie A na Ligue 1.
Kwa
upande wa Ligi ya Tanzania, alichagua kubashiri mechi ya Ihefu dhidi
ya Dodoma FC na ubashiri wake
wa 1X, kuwa mwenyeji ashinde au atoe sare – ubashiri uliokuwa na odds ya 1.31.
Huku
La Liga, bingwa wetu alichagua kubashiri Real Madrid dhidi ya Barcelona na kumpa ushindi Real Madrid kwa odds 2.35.
Serie
A, alibashiri Inter Milan
dhidi ya Us Salernitana, na Hellas Verona dhidi ya AC Milan.
Akiwapa ishindi Inter kwa Odds 1.27, na AC Milan kwa Odds 1.54.
Kwa
Ligi Kuu Uingereza, Aston Villa
dhidi ya Chelsea alimpa Chelsea
ushindi akiwa na odds ya 1.96, na Leeds United dhidi ya Arsenal na kumpa ushindi Arsenal kwa odds 1.57.
Ligue
1 pia ilijumuishwa kwenye mkeka wa bingwa huyu, mechi ya Estac Troyes dhidi ya Ec Ajaccio akiweka ubashiri wa 1X, kuwa mwenyeji apate
ushindi au mechi iishe kwa sare. Ubashiri huu ulikuwa na odds 1.32.
Tiketi
ya bingwa yote ilikamilishwa kwa ubashiri wa mechi saba, wenye jumla ya Odds
24.6 huku dau lake likiwa ni shilingi 100,000. Tiketi hii imemuacha na mwanzo
mwema wa juma akiwa ameweka kibindoni milioni 2,445,660 TZS.
Meridianbet wanakuhakikishia machaguo kibao unapoamua kufanya ubashiri wa michezo kupitia tovuti na kwa USSD. Unaweza kubashiri bila intaneti wakati wowote kwa kupiga *149*10# wakati wowote.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...