Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi amewaasa wananchi kuacha tabia ya kutumia fedha za mkopo unaotokana na dhamana ya hatimiliki ardhi kuolea mke wa pili na kwenda mjini kutumbua raha.

"Mkitumia fedha hizo za mkopo zikaisha, taasisi za fedha mlikokopa zitakuja kutaifisha mashamba yenu,"Ndejembi.

Ndejembi ametoa onyo hilo alipokuwa akihutubia baada ya kuzindua jengo la masijala lililojengwa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) katika Kijiji cha Nakalonji, Kata ya Mbondo wilayani Nachingwea Oktoba 12, 2022.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa MKURABITA, Mujungu Kasyenene akiwasalimia wananchi wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi.

Baadhi ya wananchi waliohudhuria uzinduzi huo.




PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA



Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Naibu Waziri Ndejembi akiwaasa wananchi kuhusu matumizi ya mkopo...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...