Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili Msalato, jijini Dodoma katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Msalato. Kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akiwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
(AfDB), pamoja na viongozi wengine wa Serikali akifungua kitambaa
kuashiria ufunguzi rasmi wa uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi
wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey
Kasekenya (katikati) pamoja na viongozi wengine wa Serikali wakisilikiliza
hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Kiwanja cha
Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma.
Machifu wa Jiji la Dodoma, Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi,
pamoja na wananchi wakisilikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan wakati wa
hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha
Msalato, jijini Dodoma.Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakifurahi jambo mara baada
ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa Kiwanja cha
Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma.
PICHA NA WUU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...