Mbunge wa Nzega Vijijini, Mhe. Hamisi Kigwangalla akichangia jambo wakati wa kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa akichangia jambo wakati wa kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...