

Matukio katika picha yakionesha Shamrashamra katika uwanja wa Ulker Uliopo nchini Uturuki kwenye Hafla ya ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Kombe la Dunia kwa Watu wenye ulemavu leo Septemba 30, 2022.
Timu kutoka Tanzania Tembo Warriors ambayo ilifuzu kucheza mashindano hayo nayo imeshiriki ufunguzi huo na mechi yao ya kwanza dhidi ya Hispania itachezwa hapo kesho Oktoba 1, 2022 saa saba kamili mchana.
Hadi mwisho wa mechi ya ufunguzi Uturuki wameshinda 3-0 dhidi ya Ufaransa


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...