

Mkutano huo wenye kauli mbiu " Rebuilding Africa’s Tourism Resilience for Inclusive Socio-Economic Development” umekutanisha washiriki takribani 200 kutoka mataifa mbalimbali kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayogusa shughuli za utalii barani Afrika.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeshiriki kikamilifu kwenye ufunguzi huo wa mkutano ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mej.Gen ( Mstaafu) Hamis Semfuko na Kaimu Kamishna wa Uhifadhi Mabula Misungwi Nyanda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...