Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na watumishi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, wakati akiwa kwenye ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la TAKUKURU katika halmashauri hiyo.Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akikagua miundombinu ya jengo jipya la TAKUKURU katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo. Wengine ni Viongozi na watumishi wa TAKUKURU wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo.Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bi. Neema Mwakalyelye akitoa taarifa ya ujenzi wa Ofisi mpya ya TAKUKURU wilayani ya Kilolo kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi, wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo yenye lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi hiyo wilayani humo.Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akitoa maelekezo kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bi. Neema Mwakalyelye, wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi ya kukagua ujenzi wa Ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Kilolo. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Bw. Peres Magiri.Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watumishi wa TAKUKURU mara baada ya kukagua ujenzi wa jengo jipya la ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Bw. Peres Magiri na Kushoto kwake ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bi. Neema Mwakalyelye.Mwonekano wa jengo jipya la ofisi ya TAKUKURU wilayani Kilolo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...