
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tuzo kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa MIC Tanzania Kamal Okba wakati wa ufunguzi wa minara 42 pamoja na vituo 11 vya TEHAMA Bwefuu, Mkoa Mjini Magharibi, iliojengwa kupitia fedha za Ruzuku za mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF)
Ufunguzi huo pia umehudhuriwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye.
Tigo kushirikiana na mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) imewezesha ujenzi wa minara ya mawasiliano katika maeneo ya kimkakati kote nchini ikiwemo Unguja na Pemba ambayo awali hayakuwa na mawasiliano ya simu.
@ ucsaftz #MfukoWaMawasilianoKwaWote #MawasilianoKwaWote #UCSAF #Zanzibar #letsgrowtogether

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...