Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe.Balozi Dkt. Amina Salum Ali Makamu Mwenyekiti wa Kamati Maalum (kikosi kazi) katika hafla ya kukabidi ripoti ya mapendekezo ya Kamati hiyo iliyojadili na kuchambua maoni ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa ,hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi cheti Mhe.Vuai Ali Vuai kutoka CCM,mjumbe wa Kamati Maalum
ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa Wadau wa Demokrasia
ya Vyama vingi vya Siasa,katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali
Mwinyi akipokea ripoti ya mapendekezo ya Kamati Maalum iliyojadili na
kuchambua maoni ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama
vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Dkt.Ali Ahmed Uki
(kulia) hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha
na Ikulu] 02/11/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi cheti Mhe.Jussa Ismail Ladhu kutoka ACT Wazalendo,mjumbe wa
Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa Wadau wa
Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,katika hafla iliyofanyika leo
Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022. Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi cheti Mhe.Ameir Hassan Ameir wa Chama cha Demokrasia
Makini,mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa
mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,katika hafla
iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]
02/11/2022.
Baadhi
ya Waalikwa kutoka taasisi mbali mbali waliofadhili na
kufanikisha mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya
Siasa,wakiwa katika hafla ya kukabidhi ripoti ya kamati maalun
iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]
02/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe. Rukia Kassim Ahmed (kutoka CUF),mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...