Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka za Bima Afrrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha. (AICC)


Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka za Bima Afrika wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano huo kwenye Kituo cha Kimtaifa cha Mkutano cha Arusha (AICC).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba baada ya kuhutubia Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka za Bima Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka za Bima wa Afrika
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...