Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa madarasa ya Shule ya Sekondari Mwandege wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa madarasa ya Shule ya Sekondari Mwandege wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipanda mti baada ya kukagua ujenzi wa madarasa ya Shule ya Sekondari Mwandege. Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 27, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge.( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari Mwandege wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Nevemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar
Kunenge wakati alipowasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari
Mwandege wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani kukagua ujenzi wa Madarasa na
kuzungumza na wananchi, Novemba 27, 2022. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi
ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na wa pili kushoto. Ni Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Pwani Shaaban Mlao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili
kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Mwandege wilayani Mkuranga Mkoa wa
Pwani kukagua ujenzi wa madarasa na kuzungumza na wananchi akiwa katika
siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Pwani, Nevemba 27, 2022. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...