Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Kampuni ya LG ya Korea Bw. Joo Wan Cho, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Kampuni ya LG ya Korea, Bw. Joo Wan Cho kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...