Kikao cha maboresho ya Bandari ya Tanga chafanyika Leo chini ya Mwenyekiti Mkurugenzi wa Huduma za Usafirishaji Eng.A.Kissaka
Kikao hiko kilifuatiwa na zoezi la majaribio ya kuingiza Treni ndani ya bandari ya Tanga, mara ya mwisho Treni kuingia ni miaka 20 iliyopita.
Uwepo wa treni hizo utapunguza gharama za usafirishaji kwa mteja
.jpg)






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...