Hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya uongozi ya wakaguzi wasaidizi wa Uhamiaji katika chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga, uliofanyika Novemba 26,2022.
Mgeni Rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Eng.Hamad Masauni, akiongozana na mwenyeji wake Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala.
Picha na@uhamiajitz
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...