MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga kuwa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mjini, uliyofanyika katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa 20-11-2022.(Picha na Ikulu)


MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa Uchaguzi wa Viongozi wa CCM Ngazi ya Mkoa wa Mjini, uliyofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa 20-11-2022.(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe, mkutano wa Uchaguzi huo uliyofanyika katika ukumbi Afisi ya CCM Amani Mkoa 20-11-2022.(Picha na Ikulu)
WAGENI waalikwa Viongozi wa Vyama vya Siasa mbalimbali Nchini wakimsikiliza, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi  wa CCM  Ngazi ya Mkoa wa Mjini Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa 20-11-2022.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...