Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Generali Suleiman Mzee (kulia), akioneshwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema (wapili kulia), mabanda mbalimbali yaliyopo katika Mtaa wa Benki katika  maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza, wapili kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana na kushoto ni Mchumi Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Ikunda Rumisha.
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Generali Suleiman Mzee, akioneshwa mifumo ya malipo na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema, alipotembelea katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Generali Suleiman Mzee, akizungumza na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema, alipotembelea katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha na Mipango, Mwanza)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...