Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ikulu] 16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mgeni wake Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga mara baada ya mazungumzo yao leo alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga mara baada ya mazungumzo yao leo alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga,baada ya mazungumzo leo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe.Noluthando Mayende Mapele, leo alipofika Ikulu jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifafanua jambo wakati akizungumza na Mgeni wake Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe.Noluthando Mayende Mapele, leo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mgeni wake Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe.Noluthando Mayende Mapele, leo wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe. Noluthando Mayende Mapele,baada ya mazungumzo leo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022..
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...