Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Ndg.Ali Khamis Juma, baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko, katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla ya uteuzi alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Ali Khamis Juma kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ra Biashara Viwanda na Masoko, katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla ya uteuzi alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuangalia Ndg.Ali Khamis Juma,akitia saini hati ya kiapo baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ra Biashara Viwanda na Masoko,ambapo kabla ya uteuzi alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.[Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...