Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu anayefanyia Kazi zake Zanzibar (Konseli Mkuu).Mhe.Saleh Ahmed Al Hemeiri, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 21-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu anayefanyia Kazi zake Zanzibar.(Konseli Mkuu) Mhe.Saleh Ahmed Al Hemeiri, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 21-11-2022.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...