Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Manispaa na Halmashauri ya Sumbawanga kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Maurus Chemchemi iliyopo katika Manispaa hiyo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa, Disemba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya watumishi wa Manispaa na Halmashauri ya Sumbawanga wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Maurus Chemchemi akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa Disemba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...