NA MWANDISHI WETU, NACHINGWEA

MKAZI wa Nanyumbu mkoani Mtwara, Selemani Mpepe, ameibuka na bonasi bonge ya kiasi cha Sh Milioni 4 kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo wa bikosports unaoendelea kumwaga manoti kwa Watanzania wanaotumia bikosports kuweka mikeka yao.

Akizungumza katika makabidhiano ya zawadi hiyo ya fedha, Mpepe alisema zawadi hiyo aliyoipata kama bonasi imefungulia njia nzuri katika maisha yake sanjari na kupunguza makali.

Alisema amekuwa akitumia mchezo wa bikosports kama njia ya kutafuta njia ya kutimiza malengo yake, akiamini kuwa ni sehemu nzuri inayoweza kumpatia ufumbuzi wa maisha yake.

“Katika mkeka wangu niliweka mechi nane na kuingiza kiasi cha 40,000 kama mtaji wangu, jambo ambalo lilinipatia kiasi cha fedha ambacho kitasogeza mbele gurudumu la maisha yangu.

“Nitatumia kiasi cha pesa katika biashara zangu ndogo ndogo ambazo siku zote nimekuwa nikizifanya kwa lengo la kunipatia mwangaza mzuri zaidi,” Alisema.

Mchezo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali duniani ni rahisi kucheza na kushinda ambapo namba ya Kampuni ni 101010, huku ukitoa fursa ya kucheza live mtandaoni kwa www.bikosports.co.tz bila kusahau wanaobeti njia ya kwa kupiga *149*89# wakitumia pia 101010 kama namba ya kampuni ya bikosports.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...