Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini "Presidential Delivery Bureau"(PDB) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 02/12/Presidential Delivery Bureau2022.

Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na waalikwa mbali mbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini "Presidential Delivery Bureau" (PDB) iliyozinduliwa na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupi pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo .
Viongozi na waalikwa mbali mbali katika Taasisi za Serikali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini "Presidential Delivery Bureau "(PDB) iliyozinduliwa leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupi pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.





Baadhi ya Watendaji wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini " Presidential Delivery Bureau "(PDB) wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa taasisi hiyo iliyozinduliwa na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupi pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...