Bank of Africa Tanzania, imeeleza dhamira yake ya kuendelea kutoa ushirikiano katika shughuli za kikanda za kiuchumi na uwezeshaji.

Haya yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Adam Mihayo,wakati wa mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera alipotembelea makao makuu ya Bank Of Africa Jijini Dar es Salaam.

Mihayo amemhakikishia mkuu wa mkoa huyo kuwa Benki hiyo, itaendelea kutoa ushirikiano katika shughuli za kikanda za kiuchumi na za uwezeshaji.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Adam Mihayo, wakati Mkuu wa Mkoa huyo alipotembelea makao makuu ya Bank Of Africa Jijini Dar es Salaam leo Februari 16, 2023.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera (Kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa Tanzania Bw. Adam Mihayo, alipotembelea Makao makuu ya Bank of Africa Dar es salaam Tanzania jana. Bw.Adam Mihayo alimhakikishia mkuu wa mkoa huyo kuwa, Bank of Africa, itaendelea tutoa ushirikiano katika shughuli za kikanda za kiuchumi na za uwezeshaji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...