Mbunge wa Momba, Condesta Sichalwe akiwa amepiga magoti ikiwa ni  ishara ya kumshukuru, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha fedha nyingi za ujenzi wa miradi ya maendeleo katika jimbo hilo   wakati  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokagua Soko la Kimataifa la Mazao ya Kilimo katika  kijiji cha Kakoze Kakozi wilayani Momba, Februari 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua  Soko la Kimataifa la Mazao ya Kilimo katika kijiji cha Kakozi wilayani Momba, Februari 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...