/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa “ European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros (kulia kwake) akiwa na ujumbe wake Bi.Maria Shaw-Barragan Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Afrika, Caribbean,Pacific,Asia na Latin America na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) Nchini na Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhe. Manfredo Fanti, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 24-2-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Makamu wa Rais wa “European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Da es Salaam leo 24-2-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa “European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Da es Salaam leo 24-2-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa “ European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros,mazungimzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 24-2-2023

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...