RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania.Dkt.Godwin Lekundayo, baada ya kumaliza mazungumzo yao walipofika kwa ajili ya kujitambulisha leo 20-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa hilo,kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 20-2-2023.



/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Sabato Tanzania, ukiongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo (kulia kwa Rais) wakiwa katika mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-2-2023, kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)





RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Askofi Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-2-2023.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...