JE wewe ni mkazi wa Sinza? Wanapopatikana Watu Wajanja? Na unapenda kubashiri kwenye maduka?. Basi Meridianbet leo hii wamekuzindulia duka kubwa kabisa ambalo unaweza ukabashiri maeneo ya hapo Madukani.

Duka hilo lipo Sinza Madukani hivyo fika na uanze kutoa mkeka wako kwa ODDS KUBWA zenye machaguo zaidi ya 1000, hivyo ni rahisi kwako wewe kuchagua kipi unataka nao wanakupatia kama ulivyotaka. Lakini pia duka hilo litatoa huduma ya kubashiri mubashara bila kusahau michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Aviator, Roulette, Sloti, Dog Race na mingine mingi.

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Ndugu Matina Nkurlu amesema kuwa duka hilo ni kwaajili ya watu wa Sinza na nje ya eneo hilo ambao wanahitaji kubeti kwani uhitaji wa duka ulikuwa mkubwa sana hivyo wameamua kuzindua duka hilo kuwarahisishia wateja wao wanaopatikana hapo. Sio Mpira wa miguu tuu, bali kuna michezo kadhaa ambayo wanaweza kubashiri ikiwemo Mpira wa kikapu, Tenisi, Mpira wa Wavu na mingine mingi.

Lakini pia Mkuu wa Kitengo alikazia kuwa; “Kwenye duka hilo, si mpira wa miguu tu ambao utabashiri bali kuna wale wanaopenda imichezo ya Kasino wataweza kubashiri kwa urahisi na sio mpaka waende kwenye Kasino ndipo wabeti, lakini hiyo haitoshi mpaka mashine za kubetia tumewaletea “ Nkurlu.

Duka hili la Meridianbet ni moja ya maduka makubwa yaliyopo kwenye jiji la Dar es Salaam ambalo lina huduma nyingi kama vile Kubeti mechi za mpira Mubashara, michezo ya keno, Sloti mashine kama American Poker n.k tembelea tovuti ya meridianbet kubashiri michezo mingi www.meridianbet.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...