Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo leo Machi 16, 2023 amezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano HAYATI Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nyumbani kwa marehemu kijijini Chato, mkoani Geita. Kardinali Pengo, aliyeongozana na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki jimbo la Geita Dkt. Flavian Kassala na viongozi wengine wa dini wa Geita, alipokelewa na mjane wa Marehemu Mama Janeth Magufuli na wanafamilia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...