Waziri wa Mtangamano wa Kikanda wa DRC na Mwenyekiti wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC, Mhe. Didier Mazenga Mukanzu akisoma hotuba yake wakati wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (kushoto) pamoja na Mawaziri wenzake wakiwa wamesimama kwa ajili ya kuimba nyimbo za Taifa wakati wa hafla ya ufunguzi ya Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde akichangia jambo wakati wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC
Waheshimiwa Mawaziri na wajumbe wengine wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakifuatilia hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akitenda jambo na Msaidizi wake, Bw. Seif Kamtunda.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya je na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mindi Kasiga akifuatilia hotuba za viongozi wakati wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akitenda jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kikanda katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushurikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Talha Waziri.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akimsikiliza Waziri wa Zambia wakati waliposhiriki hafla ya ufunguzi ya Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde akiongea na mmoja wa Mawaziri walioshiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri
Kikundi cha Utamaduni kikiwaburudisha wageni wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika Kinshasa, DRC
.jpg)
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Tanzaia ulioshiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri
Waheshimiwa Mawaziri wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Ukumbi uliofanyika Mkutano wa Baraza la Mawaziri


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...