RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka
Jiwe la msingi la uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Mji
Mkongwe Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto Muwekezaji Mzalendo) Bw.Hussein
Muzzamil, uzinduzi wa jengo hilo uliyofanyika leo 22-3-2023 katika eneo la
Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Zanzibar Wilaya ya Mjini.(Picha na Ikulu)
Home
HABARI
RAIS MWINYI AZINDUA JENGO JIPYA LA HOTELI YA TEMBO SHANGANI ZANZIBAR MJI MKONGWE JIJINI ZANZIBAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...