Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023 (Africa Food Systems Forum2023), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Ndani na Nje ya Tanzania kabla ya kuzindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023(Africa Food Systems Forum 2023), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.

Viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na Wageni kutoka Nje ya Nchi wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023, (Africa Food Systems Forum2023), uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano wa Uzinduzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023(Africa Food Systems Forum2023), tarehe 17 Machi, 2023.

Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza katika uzinduzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023 (Africa Food Systems Forum2023), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...