
Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Japhet Justine, akipeana mkono na Kiongozi wa jopo la wataalamu kutoka Benki ya Dunia, Bw. Hakan Yavuz, baada ya kumalizika kwa Tathmini ya namna bora ya kusimamia madeni Wizarani hapo, zoezi linaloendeshwa na Benki ya Dunia (WB) kwa kushirikiana na Wizara hiyo, jijini Dodoma.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...