Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimpatia zawadi yenye mfano wa jengo la Bunge Naibu Spika wa Bunge la Ukraine Mhe. Oleksandr Korniyenko, wakati wa mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Exhibition World Bahrain Nchini Bahrain leo Machi 14, 2023.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...