Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdulaziz Ahmed wakati wakielekea kwenye mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi, Machi 14, 2023.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiwa na waombolezaji wengine kwenye mazishi ya aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdulaziz Ahmed wakati wakielekea kwenye mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi, Machi 14, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki mazishi ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten, Abdülaziz Ahmed yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mitandi Lindi mjini Machi 14, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdulaziz Ahmed na baadaye kushiriki mazishi ya mwandishi huyo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mitandi mjini Lindi, Machi 14, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Sada Limbenga, mjane wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten, Abdulaziz Ahmed, nyumbani kwa marehemu Lindi mjini ambako pia alishiriki kwenye mazishi ya mwanadishi huyo ikwenye makaburi ya Mitandi, Mach 14, 2023. Katikati ni shangazi wa mke wa marehemu, Bibi Ndindi Binti Abdulaziz.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Abdulaziz Ahmed, aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten kabla ya kushiriki mazishi ya mwandishi huyo kwenye makaburi ya Mitandi mjini Lindi, Machi 14, 2023.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...