Mhe. Jaji (Mst) Sivangilwa Mwangesi Kamishna wa Maadili (wa kwanza kushoto) na Bw. John Kaole Katibu Usimamizi wa Maadili (kushoto kwa Jaji Mwangesi) wakiweka shada la maua katika kaburi la Benny Kabungo eneo la Nonde jijini Mbeya tarehe 30 Machi, 2023. Benny alikuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu katika Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Mhe. Jaji (Mst) Sivangilwa Mwangesi Kamishna wa Maadili tarehe 30 Machi, 2023 akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Benny Kabungo aliye kuwa Mkurugenzi wa Utawla na Rasilimaliwatu mtaa wa Jakalanda jijini Mbeya. Kabungo alifariki dunia tarehe 27 Machi, 2023.

Baadhi wa watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wakiwa katika picha ya pamoja katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekua Mkurugenzi wa Rasilimali watu Sekretarieti ya Maadili Bw. Benny Kabungo.Ibada hiyo ilifanyika Mbweni Dar es Salaam tarehe  29 Machi ,2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...