Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri anaeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 17 Mei 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri anayeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi, ambaye aliambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 17 Mei 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri anayeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 17 Mei 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri anayeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi, mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 17 Mei 2023.Kulia ni Waziri wa Nishati Mhe.Januari Makamba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...