Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili ukumbi wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja uliopo Mahonda.
Rais Dk. Mwinyi atazungumza na Viongozi wa CCM ngazi ya shina, Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ngazi ya Jimbo, Wilaya na Mkoa.
Pia atatembelea na kukagua miradi ya CCM Mkoani humo ikiwemo eneo la Kituo cha Mafuta Mahonda, kitega uchumi cha CCM Nungwi, eneo la CCM Afisi kuu Kiwengwa, Shamba la CCM na Afisi kuu Kilombero.
đź—“️11 Juni 2023
📍Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...