Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara (kulia)akipata maelezo kutoka kwa  Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Salum Pazzy (kushoto) kuhusu kazi zinazofanywa na Mamlaka hiyo pamoja na lengo la kushiriki  katika Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara (kulia) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea Banda la Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini  ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8,  2023. Wa kwanza kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Salum Pazzy

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Salum Pazzy mara baada ya kutembelea Bando la Mamlaka hiyo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini unaoratibiwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...