Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Obedi Laiser akizungumza wakati wa hafla ya kuutambulisha Mpango mpya ya benki hiyo uitwao ' Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya nyengine' jijini Dar es Salaam jana ukiwa na lengo la kuliona Bara la Afrika likipata uwezo wa kutatua changamoto za kiuchumi na kijamii.


Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali Watu wa Benki ya Absa, Patrick Foya akizungumza wakati wa hafla ya kutambulisha Mpango mpya wa benki uitwao 'Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya nyengine' jijini Dar es Salaam jana Ukiwa na lengo la kuliona Bara la Afrika likipata uwezo wa kutatua changamoto zake za kiuchumi na kijamii.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mwasiliano wa wa Benki ya Absa, Aron Luhanga akizungumza wakati wa hafla ya kutambulisha mpango mpya wa benki hiyo uitwao ' Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya nyengine' jijini Dar es Salaam jana, ukiwa na lengo la kuliona Bara la Afrika likipata uwezo wa kutatua changamoto zake za kiuchumi na kijamii. Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya Absa, Genade Mzee akizungumza wakati wa hafla ya kuutambulisha mpango mpya wa benki uitwao 'Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya nyengine' jijini Dar es Salaam jana, ukiwa na lengo la kuliona Bara la Afrika likipata uwezo wa kutatua changamoto zake za kiuchumi na kijamii.  Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Absa Tanzania kutoka jijini na mikoani wakiwa katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam Jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Absa Tanzania wakihudhuria hafla hiyo jijini Dar es Salaam Jana.
Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi ya Benki ya Absa, Mwilongo Irene Msungu akizungumza wakati wa hafla ya kuutambulisha mpango mpya wa benki hiyo uitwao ' Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya nyengine' jijini Dar es Salaam jana, ukiwa na lengo la kuliona Bara la Afrika likipata uwezo wa kutatua changamoto zake za kiuchumi na kijamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...