Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Mobhare Matinyi akifanya usafi leo asubuhi katika Kata ya Mbagala leo asubuhi Julai 29,2023.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mobhare Matinyi (mwenye kofia nyeusi na fulana nyeusi), akiwa katika picha ya pamoja na wananchi mara baada ya kufanya usafi katika Kata ya Mbagala Wilayani humo Mkoani Dar es Salaam zoezi hilo lilifanyika leo asubuhi saa 12:00 ya tarehe 29 Julai, 2023.
(Picha kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali cha Halmashauri ya Manispaa ya Temeke).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...