Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Natu Mwamba na  Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo pamoja na wafanyakazi wa TIA wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Katibu Mkuu huyo kutembembelea maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam(DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba, jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Jenifa Omolo akizungumza katika  katika banda la TIA kwenye   maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam(DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Natu Mwamba akipokea mfuko wa  Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa William Pallangyo  kwenye banda la TIA  wakati Mkuu  huyo  alipotembelea  maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam(DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Natu Mwamba akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la TIA  wakati mkuu huyo  alipotembelea banda la TIA kwenye maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam(DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Natu Mwamba akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo wakati alipotembelea banda la TIA kwenye maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam(DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba, jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...