Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa kwanza kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee (wa kwanza kulia) akitoa elimu kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa kwanza kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Elimu Mkuu- Mitaala (PSPTB), Jeremiah J. Haule (wa tatu kulia) akitoa elimu kuhusu namna wanafunzi wanavyoweza kujisajili na kufanya mitihani ya Bodi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba(wa kwanza kushoto) akizungumza jambo mara baada ya kupata elimu kutoka kwa maafisa wa Bodi ya PSPTB ikiongozwa na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee (wa kwanza kulia) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akisaini kitabu katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akikabidhiwa zawadi na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee kwa niaba ya Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Baadhi ya maofisa wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) mara baada ya kutembelea Banda la Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...